\v=34 \v~=Yesu akasema, \wj “Baba, wasamehe, kwa maana hawajui walitendalo!”\wj* Wakagawana nguo zake kwa kupiga kura. \¬v \¬p