\v=46 \v~=Yesu akapaza sauti yake akasema, \wj “Baba, mikononi mwako naikabidhi roho yangu.”\wj* Baada ya kusema haya, akakata roho. \¬v \¬p