\p \v=25 \v~=Yesu akawaambia, \wj “Ninyi ni wajinga kiasi gani, nanyi ni wazito mioyoni mwenu kuamini mambo yote yaliyonenwa na manabii!\wj* \¬v