\v=11 \v~=Leo katika mji wa Daudi kwa ajili yenu amezaliwa Mwokozi, ndiye Kristo\f + \fr 2:11 \fq Kristo \ft maana yake ni \fqa Masiya\ft , yaani \fqa Aliyetiwa mafuta.\f* Bwana. \¬v