\v=16 \v~=Yohana akawajibu akawaambia, “Mimi nawabatiza kwa maji.\f + \fr 3:16 \ft Tafsiri nyingine zinasema ndani ya maji.\f* Lakini atakuja aliye na nguvu kuniliko mimi, ambaye sistahili hata kufungua kamba za viatu vyake. Yeye atawabatiza kwa Roho Mtakatifu na kwa moto. \¬v