\p \v=13 \v~=Ibilisi alipomaliza kila jaribu, akamwacha Yesu mpaka wakati mwingine ufaao. \¬v \¬p