\p \v=14 \v~=Yesu akamwagiza akisema, \wj “Usimwambie mtu yeyote, bali nenda ukajionyeshe kwa kuhani na ukatoe sadaka alizoagiza Mose kwa utakaso wako, ili kuwa ushuhuda kwao.”\wj* \¬v \¬p