\v=24 \v~=\wj Lakini ili mpate kujua kwamba Mwana wa Adamu anayo mamlaka duniani kusamehe dhambi…”\wj* Akamwambia yule aliyepooza, \wj “Nakuambia, inuka, chukua mkeka wako, uende nyumbani kwako.”\wj* \¬v