\p \v=4 \v~=Alipomaliza kunena, akamwambia Simoni, \wj “Sasa peleka mashua hadi kilindini kisha mshushe nyavu zenu mkavue samaki.”\wj* \¬v \¬p