\p \v=10 \v~=Akawatazama watu wote waliokuwepo, kisha akamwambia yule aliyepooza mkono, \wj “Nyoosha mkono wako!”\wj* Akaunyoosha na mkono wake ukaponywa kabisa. \¬v