\p \v=3 \v~=Yesu akawajibu, \wj “Je, ninyi hamjasoma kamwe alivyofanya Daudi wakati yeye na wenzake walikuwa na njaa?\wj* \¬v