\v=8 \v~=Lakini Yesu alijua mawazo yao, hivyo akamwambia yule mwenye mkono uliopooza, \wj “Inuka usimame mbele ya watu wote.”\wj* Hivyo yule mtu akainuka, akasimama mbele yao wote. \¬v \¬p