\p \v=9 \v~=Ndipo Yesu akawaambia wale walimu wa sheria na Mafarisayo, \wj “Nawauliza ninyi, ni lipi lililo halali siku ya Sabato? Ni kutenda mema au kutenda mabaya? Ni kuokoa maisha au kuyaangamiza?”\wj* \¬v \¬p