\p \v=14 \v~=Kisha akasogea mbele akaligusa lile jeneza na wale waliokuwa wamelibeba wakasimama kimya. Akasema, \wj “Kijana, nakuambia inuka.”\wj* \¬v