\p \v=41 \v~=\wj “Palikuwa na mtu mmoja aliyewakopesha watu wawili fedha: Mmoja alidaiwa dinari 500\wj*\f + \fr 7:41 \ft Dinari 500 ni sawa na mshahara wa kibarua wa siku mia tano.\f* \wj na mwingine dinari hamsini.\wj* \¬v