\p \v=9 \v~=Yesu aliposikia maneno haya, alishangazwa naye sana. Akaugeukia ule umati wa watu uliokuwa unamfuata, akawaambia, \wj “Sijaona imani kubwa namna hii hata katika Israeli.”\wj* \¬v