\v=39 \v~=\wj “Rudi nyumbani ukawaeleze mambo makuu Mungu aliyokutendea.”\wj* Kwa hiyo yule mtu akaenda, akatangaza katika mji wote mambo makuu ambayo Yesu alimtendea. \¬v \¬p