\v=52 \v~=Wakati ule ule watu wote walikuwa wakilia na kuomboleza kwa ajili ya huyo binti. Yesu akawaambia, \wj “Acheni kulia. Huyu binti hajafa, ila amelala.”\wj* \¬v \¬p