\v=3 \v~=Akawaagiza akisema, \wj “Msichukue chochote safarini: sio fimbo, wala mkoba, wala mkate, wala fedha, hata msichukue kanzu ya ziada.\wj* \¬v