\p \v=41 \v~=Yesu akawajibu, \wj “Enyi kizazi kisichoamini na kilichopotoka! Nitakaa nanyi na kuwavumilia mpaka lini? Mlete mwanao hapa.”\wj* \¬v \¬p