\p \v=10 \v~=“Laiti mmoja wenu angalifunga milango ya Hekalu, ili msije mkawasha moto usiokuwa na faida juu ya madhabahu yangu! Sina furaha nanyi,” asema \nd Bwana\nd* Mwenye Nguvu Zote, “nami sitaikubali sadaka toka mikononi mwenu. \¬v