\p \v=11 \v~=Yuda amevunja uaminifu. Jambo la kuchukiza limetendeka katika Israeli na katika Yerusalemu: Yuda amepanajisi mahali patakatifu apendapo \nd Bwana\nd*, kwa kuoa binti wa mungu mgeni. \¬v