\p \v=13 \v~=Kitu kingine mnachokifanya: Mnaifurikisha madhabahu ya \nd Bwana\nd* kwa machozi. Mnalia na kuugua kwa sababu yeye haziangalii tena sadaka zenu wala hazikubali kwa furaha kutoka mikononi mwenu. \¬v