\p \v=7 \v~=“Kwa maana yapasa midomo ya kuhani kuhifadhi maarifa. Tena kutoka kinywani mwake watu wangepaswa kutafuta mafundisho, kwa sababu yeye ni mjumbe wa \nd Bwana\nd* Mwenye Nguvu Zote. \¬v