\v=8 \v~=Lakini mmegeuka mkaiacha njia, na kwa mafundisho yenu mmesababisha wengi kujikwaa. Mmevunja agano na Lawi,” asema \nd Bwana\nd* Mwenye Nguvu Zote. \¬v