\v=11 \v~=Nami kwa ajili yenu nitamkemea yeye alaye, wala hataharibu mazao ya ardhi yenu, wala mzabibu wenu hautapukutisha matunda yake kabla ya wakati wake,” asema \nd Bwana\nd* Mwenye Nguvu Zote. \¬v