\v=12 \v~=“Ndipo mataifa yote yatawaita mliobarikiwa, kwa maana nchi yenu itakuwa ya kupendeza sana,” asema \nd Bwana\nd* Mwenye Nguvu Zote. \¬v \¬p