\p \v=16 \v~=Ndipo wale waliomcha \nd Bwana\nd* wakasemezana wao kwa wao, naye \nd Bwana\nd* akasikiliza na akasikia. Kitabu cha kumbukumbu kikaandikwa mbele yake kuhusu wale ambao walimcha \nd Bwana\nd* na kuliheshimu jina lake. \¬v \¬p