\v=7 \v~=Tangu wakati wa baba zenu mmegeukia mbali na amri zangu nanyi hamkuzishika. Nirudieni mimi, nami nitawarudia ninyi,” asema \nd Bwana\nd* Mwenye Nguvu Zote. \¬p \p \p~<