\v=3 \v~=Kisha ninyi mtawakanyaga waovu, nao watakuwa majivu chini ya nyayo za miguu yenu siku ile nitakayofanya mambo haya,” asema \nd Bwana\nd* Mwenye Nguvu Zote. \¬v \¬p