\p \v=5 \v~=“Tazama, nitawapelekea nabii Eliya kabla ya kuja siku ile iliyo kuu na ya kutisha ya \nd Bwana\nd*. \¬v