\p \v=17 \v~=\wj “Jihadharini na wanadamu; kwa maana watawapeleka katika mabaraza yao na kuwapiga kwenye masinagogi yao.\wj* \¬v