\v=25 \v~=\wj Yatosha mwanafunzi kuwa kama mwalimu wake, na mtumishi kuwa kama bwana wake. Ikiwa mkuu wa nyumba ameitwa Beelzebuli,\wj*\f + \fr 10:25 \ft Beelzebuli kwa Kiyunani ni Beelzebubu, yaani mkuu wa pepo wachafu.\f* \wj je, si watawaita zaidi wale wa nyumbani mwake!\wj* \¬v \¬p