\v=28 \v~=\wj Msiwaogope wale wauao mwili lakini hawawezi kuua roho. Afadhali mwogopeni yeye awezaye kuiangamiza roho na mwili katika jehanamu.\wj*\f + \fr 10:28 \ft Jehanamu kwa Kiyunani ni Gehena, maana yake ni Kuzimu, yaani motoni.\f* \¬v