\p \v=5 \v~=Hawa kumi na wawili, Yesu aliwatuma akawaagiza: \wj “Msiende miongoni mwa watu wa Mataifa, wala msiingie mji wowote wa Wasamaria.\wj* \¬v