\v=23 \v~=\wj Nawe Kapernaumu, je, utainuliwa hadi mbinguni? La hasha, utashushwa mpaka kuzimu.\wj*\f + \fr 11:23 \fq Kuzimu \ft ni \fqa Mahali pa wafu.\f* \wj Miujiza iliyofanyika kwako ingefanyika huko Sodoma, mji huo ungalikuwepo hadi leo.\wj* \¬v