\p \v=11 \v~=Yesu akawaambia, \wj “Ni nani miongoni mwenu, mwenye kondoo wake ambaye huyo kondoo akitumbukia shimoni siku ya Sabato hatamtoa?\wj* \¬v