\p \v=25 \v~=Yesu alijua walichokuwa wakiwaza, hivyo akawaambia, \wj “Kila ufalme ukigawanyika dhidi yake wenyewe huangamia. Hali kadhalika kila mji au watu wa nyumba moja waliogawanyika dhidi yao wenyewe hawawezi kusimama.\wj* \¬v