\p \v=3 \v~=Yesu akawajibu, \wj “Je, hamjasoma alichofanya Daudi na wenzake walipokuwa na njaa?\wj* \¬v