\p \v=39 \v~=Lakini yeye akawajibu, \wj “Kizazi kiovu na cha uzinzi kinaomba ishara! Lakini hakitapewa ishara yoyote isipokuwa ile ishara ya nabii Yona.\wj* \¬v