\v=40 \v~=\wj Kwa maana kama vile Yona alivyokuwa ndani ya tumbo la nyangumi\wj*\f + \fr 12:40 \ft Nyangumi ni samaki mkubwa sana.\f* \wj kwa siku tatu, usiku na mchana, vivyo hivyo Mwana wa Adamu atakuwa katika moyo wa nchi siku tatu, usiku na mchana.\wj* \¬v