\p \v=11 \v~=Akawajibu, \wj “Ninyi mmepewa kuzifahamu siri za Ufalme wa Mbinguni, lakini wao hawajapewa.\wj* \¬v