\p \v=25 \v~=Wakati wa zamu ya nne ya usiku,\f + \fr 14:25 \ft Zamu ya nne ya usiku ni kati ya saa tisa na saa kumi na mbili asubuhi.\f* Yesu akawaendea wanafunzi wake akiwa anatembea juu ya maji. \¬v