\p \v=31 \v~=Mara Yesu akaunyoosha mkono wake na kumshika, akamwambia, \wj “Wewe mwenye imani haba, kwa nini uliona shaka?”\wj* \¬v \¬p