\p \v=28 \v~=Ndipo Yesu akamwambia, \wj “Mwanamke, imani yako ni kubwa! Iwe kwako kama unavyotaka.”\wj* Naye binti yake akapona tangu saa ile. \¬v \¬p