\v=39 \v~=Baada ya kuaga ule umati wa watu, Yesu aliingia katika mashua, akaenda sehemu za Magadani.\f + \fr 15:39 \ft Magadani ni Magdala, mji wa Galilaya, kama kilomita 16 kusini mwa Kapernaumu.\f* \¬v \¬p \¬c