\p \v=16 \v~=Simoni Petro akamjibu, “Wewe ndiwe Kristo,\f + \fr 16:16 \fq Kristo \ft maana yake ni \fqa Masiya\ft , yaani \fqa Aliyetiwa mafuta.\f* Mwana wa Mungu aliye hai.” \¬v \¬p