\p \v=17 \v~=Naye Yesu akamwambia, \wj “Heri wewe, Simoni Bar-Yona,\wj*\f + \fr 16:17 \ft Bar-Yona ni neno la Kiaramu, maana yake ni Mwana wa Yona.\f* \wj kwa maana hili halikufunuliwa kwako na mwanadamu, bali na Baba yangu aliye mbinguni.\wj* \¬v