\p \v=2 \v~=Yesu akawajibu, \wj “Ifikapo jioni, mnasema, ‘Hali ya hewa itakuwa nzuri, kwa kuwa anga ni nyekundu.’\wj* \¬v