\p \v=24 \v~=Ndipo Yesu akawaambia wanafunzi wake, \wj “Mtu yeyote akitaka kunifuata, ni lazima ajikane mwenyewe, auchukue msalaba wake, anifuate.\wj* \¬v